Pages

Ads 468x60px

Wednesday, June 20, 2012

JE WAMJUA?

Mario Van Peebles ndani ya ZIFF

Kama umeshaitazama All Things Fall Apart ya 50 Cent yule jamaa aliyeigiza kama baba yake ndiye huyu Mario Van Peebles ambaye atakuwa mgeni  wa heshima wa ZIFF mwaka huu.

Kwa sasa ndiye the 'most prominent African-American-Latino director wa filamu duniani.

Akiwa Bongo atazindua filamu yake 'We the Party' pale Cinema Century, Mlimani City pesa itakayopatikana itatumika kusaidia miradi ya ZIFF. 


Van Peebles ameiwahi kuigiza katika filamu maarufu kama BAADAAAAAS, Panther, Ali, New Jack City, The Revenge ,Identity Crisis na nyingine nyingi.

Tuesday, June 19, 2012

MNYIKA ALIVYOCHACHAFYA BUNGENI LEO

                                   Mnyika kuchangia kabla;
Mbunge wa jimbo la Ubungo, John Mnyika akichangia mjadala wa bajeti buneni mjini Dodoma jana. (Picha na Joseph Senga)

                     





DStv REWARDS LOYAL SUBSCRIBERS

DStv REWARDS LOYAL SUBSCRIBERS

Peter Silayo (right) receives a Blu Ray DVD player from MultiChoice Tanzania HR Manager Tike Mwakitwange.


               One of the winners of DStv Rewards Richard Alexander (right) receives a Toshiba Laptop from MultiChoice    Tanzania Operations Manager Ronald Shelukindo


                                        
                  MultiChoice Tanzania General Manager Peter Fauel awards Arvino Fernandes a vacuum, Coffee maker and Toaster, winner of the DStv Rewards.



 DStvis rewarding itssubscribersfor staying connected for 3 months or more. DStv Rewards is a monthly competition which launchedlast December and offers a wide selection of great prizes including Laptops, Ipads, HD PVR to mention but a few.
MultiChoice Africa CEO, Nico Meyer had this say: “MultiChoice takes a keen interest in its subscribers who always remain at the core of our business. Creating meaningful value for our DStv subscribers is always a priority – that’s why MultiChoice has created a new loyalty incentive programmeto reward subscribers for staying connectedto DStv for 3,6,12, 24 and 36 months. Subscribers who pay upfront for one year also gain a free one month’s subscription”.
At the heart of MultiChoice’s rewards programme isa firm commitment to continuously provide innovative and unique home television services which are innovative and exciting and keep African viewers at the cutting edge of pay television.  To do this there is the continuous introduction not only of new programming and channels which meet the viewing requirements of the whole family but also new technology such as the PVR, High Definition, DStv Mobile and the Drifta*.The contribution of MultiChoice can not only be seen in the growth and development of local programming with channels made in Africa for Africa, but also in the contribution of MultiChoice to enhancing education and thus contributing to bridging the digital divide in the most underprivileged schools on the continent – thus changing communities for the better. This customer incentive programme is essentially DStv’s way of giving back to its subscribers.
For further details on DStv Rewards please watch for promotions on DStv and go to www.dstv.com for further details.Subscribers need to ensure that their details are up to date and they can do this by contacting their nearestMultiChoice office.
*Only where available

Monday, June 18, 2012

AY, Mwana FA wapagawisha BBA
                                  AY akiwa na IK (kulia) kushoto kwake Mwana FA. jana jumapili walipiga shoo BBA    
                                    AY na Prezzo
Wanamuziki nyota wa Tanzania,wenye mafanikio makubwa katika ‘game’ hapa nchini, Ambwene Yesaya ‘AY’  na Khamis Mwijuma ‘Mwana FA’  usiku wa juzi walikonga nyoyo kwa kibao chao cha ‘Money’ ndani ya jumba la Big Brother, nchini Afrika kusini.
AY alitikisa vilivyo na kibao chake hicho kipya ambacho pia amemshirikisha DJ Arthur, waliweza kukonga nyoyo za mashabiki ambao muda wote walilipuka kwa shangwe.
AY anakuwa msanii wa kwanza kupiga shoo mara mbili ndani ya jumba hilo huku shoo yake ya kwanza ilikuwa mwaka juzi Big brother Evulution. Hivi karibuni msanii mwingine wa Tanzania, Diamond nae alipata kutumbuiza ndani ya jumba hilo.
 Maneta mjamzito?
Maneta aliweza kutoa mpya kwa kumweleza, Rock na Keitta, kuwa anaujauzito alioupata baada ya kulala usiku mmoja na Keitta.
Hata hivyo, Maneta aliongea hilo huku akionesha kama utani ambapo alidai kuwa kuna vitu amevihisi kuwa uenda mimba imenza tena ya mapacha. Hata hivyo Keitta aliruka futi mia na kusema kuwa si kweli kwani uiku huo kila mmoja alikua na yake na wala hakuna aliejishughulisha na mwenzake.
Maneta alimwambia Keitta kuwa, anatarajia mapacha na ajiandae, lakini Keitt alisisitiza jambo hilo ni la uongo kwani hakuweza kufanikiwa kumpata katika mitego yake. .
Lee, Jesica watolewa BBA
Mpaka leo ni siku ya 44, tayari washiriki wamebakia 17, baada ya juzi usiku kuwashuhudia, Jesica na Lee  waliokuwa jumba la Downville kuliaga shindano hilo, huku Keagan na Junia kubahatika kuingia jumba la mastaa la Upville, ambalo mkuu wake ni Goldie mwenye mahusiano na Prezzo. Shindano hilo linaloonyeshwa moja kwa moja  DStv’s Channel 198 kila siku.
Keagan afurahiwa Upville

Keitta na Maneta  walio ndani ya jumba la Upville, walifurahia ujio wa Keagan, ndani ya jumba hilo lenye mastaa mbalimbali. Keitta,Maneta na Keagan,  awali walipokuwa ndani ya jumba la Downville walishirikiana kwa ukaribu mkubwa.
Pia Barbz ambae anatoka nchi moja na Keagan, (Afrika kusini), nae alifurahia ujio wake huo.  Keagan aliweza kupata wasaha wa kufurahia maisha na mastaa wengine wa Upville 

Jim Iyke:Natoa 5% ya maisha yangu kujikingana skendo

STAR WA NOLLYWOOD WIKI HII
                           Jim Iyke
Jim Iyke:
Natoa asilimia 50 ya maisha kujikinga na skendo

LAGOS, NIGERIA
KATIKA makala hii tutaangalia mahojiano yaliyofanywa kati ya mwigizaji, Jim Ike na televisheni moja maarufu ya jijini hapa akielezea maisha yake kwa ujumla na namna anavyojikinga na skendo kama zinavyowakuta nyota wengine wa filamu nchini Nigeria.

TV: Tunaomba kujua jina lako ulilopewa na wazazi wako?
IYKE: Vizuri, jina langu ni James ambalo nafupisha na kuita Jim, na Ikechukwu nikifupisha kwa kuita Iyke ambalo lilitumiwa na babu aliyekuwa wa kabila ya Ibo likimaanisha ‘nipo tofauti na wapumzikaji’.

TV: Ulianza vipi hadi kuwa hivyo ulivyo?
IYKE: Sikuwahi kufikiria kuwa mwigizaji hapo kabla katika makuzi yangu, ila ndoto hiyo ilianza kuibuka baada ya kumaliza shule miaka 12 iliyopita, wakati huo nilikuwa nikifanya kazi benki, ndipo nilianza kwa kuandika hadithi ya filamu, lakini baada ya kuimaliza rafiki zangu walinishauri na mimi kuigiza pia, hapo ikawa mwisho wangu wa kuhesabu fedha za watu. Hapo nikawa mwandishi na mwigizaji.

TV: Ni faida ipi uliyoipata kupitia sanaa?
IYKE: Faida kubwa niliyoipata kwanza ni kujitegemea kwa kuwa na kwangu, na kuhama kwenye nyumba ya wazazi wangu. Nimekuwa nikiandaa matamasha ya burudani na matukio tofauti ambayo yamekuwa yakiniingizia fedha. Ukiachilia filamu, pia huwa najihusisha na masuala ya mitindo katika kampuni yangu na nimekuwa nikivaa nguo zenye chata ya ‘showbiz’.

TV: Unawezaje kujikinga na usumbufu wa wanawake kama mtu maarufu? 
IYKE: Maisha yangu nimeyatoa kafara kwa watu wengine kwa sababu maisha yangu ya kawaida yanafuatiliwa na watu wa kawaida, kwani nimekuwa nikitoa asilimia 50 ya maisha yangu kwa ajili ya kujikinga na habari za skendo zitakazozalishwa na watu wasiopenda maendeleo yangu.
Kwa kuhakikisha hayo yanatimia, nimekuwa nikitumia gari lililozibwa kwa vioo vyeusi na huwa siingii klabu au kwenye matukio ya muziki yanayohusisha watu wengi.

TV: Yapi matokeo yanayotokana na kuigiza maeneo ya mahusiano?
IYKE: Nimepata matatizo mengi hasa kwa kupitia mtandaoni, ambako nimekuwa nikitumiwa SMS zaidi ya 100 kwa kila siku kutoka kwa wanawake.

TV: Unazungumziaje maendeleo ya tasnia ya filamu mjini hapa?
IYKE: Biashara ya filamu imeshuka sana, hivyo nimekuwa nikijihusisha na biashara nyingine hali inayonisaidia kuongeza kipato zaidi nikiwa naongoza biashara za familia.

TV: Kwa sasa una umri gani?
IYKE: Nina umri wa miaka 34.

TV: Ukiwa ulitambulishwa na filamu ya ‘Between Kings and Queens’ ni vipi ulijipatia uzoefu?
IYKE: Ninaipenda filamu hiyo kwa sababu ilinitambulisha na nilitumia Uafrika wangu kupata uzoefu wa kuiigiza.

TV: Vipi unayo kampuni ya filamu?
IYKE: Ninayo kampuni yangu ya filamu inayojulikana kama Untamed Productions, na nimeshatengeneza filamu nyingi na baadhi yake ni ‘Two Dollars’, ‘Shades of White’ na nyingine.

TV: Ukiachilia tasnia ya filamu, ni kazi gani nyingine unajishughulisha nayo ya kusaidia jamii ya mjini hapa?
IYKE: Nimekuwa mstari wa mbele kwa kusaidia watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu… nimefungua mfuko wangu wa kujishughulisha na kazi hiyo.
Kwa kupitia mfuko huo zaidi ya vijana 8,000 wa Abuja wamesaidiwa.
Ukiachilia mfuko huo wa msaada, huwa najihusisha na kutangaza kipindi cha televisheni cha mazungumzo kinachojulikana kama ‘Jewel for Jim’. Kipindi hicho mara nyingi kimekuwa kikihamasisha uchangiaji wa mfuko huo.

TV: Tulipata habari za wewe kujishughulisha na masuala ya muziki.
IYKE: Kweli nimekuwa nikijishughulisha na muziki, ingawa mimi si mwimbaji. Lakini nimefungua studio ambazo ni maalum kwa ajili ya kusaidia vijana wenye vipaji na hawana uwezo wa kuingia studio.

TV: Mpaka sasa umeshaanza na vijana wangapi?
IYKE: Wengi, lakini bado nina mipango ya kuwasainisha zaidi walio na vipaji na hawana uwezo wa kutengeneza kazi.

Sunday, June 17, 2012

MOHAMMED DEWJI AKABIDHI PIKIPIKI JIMBONI KWAKE

MH. MOHAMMED DEWJI AWAKABIDHI PIKIPIKI ZENYE THAMANI YA MILION 20 WAFANYA BIASHARA YA BODABODA SINGIDA...!!!

 Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mh. Mohammed Gullam Dewji akimkabidhi katibu wa umoja wa wafanyabishara wa bodaboda msaada wa pikipiki 10.
 Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mh. Mohammed Gullam Dewji akizungumza na wafanyabiashara wa bodaboda (hawapo kwenye picha) muda mfupi kabla hajawakabidhi msaada wa pikipiki kumi zenye thamani ya shilingi milioni 20.Kushoto ni katibu wa umoja wa wafanyabiashara wa bodaboda, Maulid Mpondo.Kulia wa kwanza ni Kaimu mkurugenzi wa manispaa ya Singida,Williamu Haaly na anayefuata,ni katibu wa CCM manispaa ya Singida.
 Mmoja wa wafanyabiashara wa bodaboda akisoma risala yao kwa mbunge wa jimbo la Singida mjini Mh. Mohammed Gullam Dewji.
 Baadhi ya Wafanyabiashara Wa Bodaboda wakimsikiliza mbunge wao.
Baadhi ya wafanyabiashara wa bodaboda wa mjini Singida wakiserebuka na kucheza 'KIDUKU' na mbunge wao Mohammed Gullam Dewji muda mfupi kabla ya mbunge huyo kuwakabidhi wafanyabiashara hao msaada wa pikipiki. 
 Pikipiki 10 aina ya sanlag CC150 zilizotolewa msaada ya mbunge wa jimbo la Singida mjini, Mohammed Gullam Dewji kwa vikundi 10 vya wafanyabiashara wa bodaboda mjini Singida.
 Mbunge wa jimbo la Singida mjini,Mohammed Gullam Dewji akimkabidhi Mchungaji Daud Elia mifuko 25 ya saruji kwa ajili ya kujengea kanisa.
 Mo akizungumza na waumini wa kanisa la Pentekosti la kijiji cha Ititi muda mfupi kabla hajakabidhi msaada wa mifuko 25 ya saruji na shilingi laki tano taslimu
Jengo la kanisa la Pentekoste la kijiji cha Ititi jimbo la Singida mjini.
---
Na Geofrey Mwakibete na Nathaniel Limu


Wafanyabiashara wa bodaboda jimbo la Singida mjini,wamehimizwa kuunda/kuanzisha  vikundi ili pamoja na mambo mengine, kujijengea mazingira mazuri ya kukopesheka.

Wito huo umetolewa na mbunge wa jimbo la Singida mjini,Mohammed Gullam Dewji,wakati akizungumza kwenye hafla iliyofana, ya kukabidhi pikipiki 10 aina ya sanlag CC 150 zenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa vikundi vya wafanyabiashara wa bodaboda.

Alisema faida za kujiunga kwenye vikundi ni nyingi ikiwemo ya kuwa nafasi nzuri ya kupata mikopo mbalimbali kutoka kwenye taasisi za kifedha.Mtu mmoja mmoja akitaka kukopa fedha benki ni ngumu, kuotokana masharti yaliyowekwa na taasisi za kifedha. 

“Siku zote umoja ni nguvu,utegano unachangia kuleta ulegevu unaozaa udhaifu.Mahali pana ulegevu,kwanza hakuna maendeleo ya kweli na pia kutetea haki,inakuwa ngumu mno”,alifafanua Dewji ambaye pia ni mjumbe wa NEC CCM mkoa wa Singida.

Kuhusu pikipiki hizo alizotoa msaada, alisema lengo lake ni kwamba kila kikundi kitaitumia pikipiki yake kwa ajili ya kukiongezea kikundi mapato ambayo endapo yatatunzwa vizuri,ipo siku kila mwanakikundi anaweza akamiliki pikipiki yake binafsi. 

Aidha, amewataka wakati wote kuzingatia sheria halali zilizowekwa na mamlaka husika, ili shughuli zao ziweze kuendelea bila matatizo.

“Pia napenda kutumia fursa hii, kuomba mamlaka zinazohusika na sheria za usalama barabarani na utozaji wa kodi na ushuru, kujipanga kwa ajili ya kutoa elimu kwa wafanyabiashara wa bodaboda,ili waweze kuzifahamu sheria husika”,alisema na kuongeza;

“Nina imani kwamba wafanyabiashara wa boda boda wakifahamu kwa kina sheria za usalama barabarani,kutapunguza mno ajali na pia wakifahamu mambo ya kodi na ushuru,hawatakwepa kulipa”.

Katika hatua nyingine, Dewji amewahimiza waumini wa madhehebu ya dini, kuongeza kasi ya utoaji sadaka,ili kuimarisha ustawi wa madhahebu yao.

Alisema waumini wanao wajibu mkubwa wa kuchangia kwa hali na mali madhehebu yao kwa lengo  yaweze kutekeleza wajibu wake kwa ufanisi zaidi.

“Sadaka inayotolewa kwa moyo mkujufu,licha ya kusaidia ustawi wa dhehebu la dini husika,mtoaji anakuwa amejiwekea thawabu mbele ya mwenyezi Mungu”,alisema Dewji.
Akiijengea nguvu hoja yake hiyo,mbunge huyo, alisema ustawi wa kweli wa dhehebu la dini,utaletwa na waumini wenyewe,watu wengine/taasisi zingine,kazi zao ni kusaidia mahali waumini wanapokuwa wamepelea.  

Katika siku yake ya pili ya ziara yake ya kikazi jimboni kwake,Dewji alitoa msaada wa mifuko ya saruji 40 kwa msikiti wa kijiji cha Manguamitogho na mifuko mingine 25 ya saruji na shilingi laki tano taslimu, kwa kanisa la Pentekoste la kijiji cha Ititi.

Katika siku yake ya mwisho ya ziara yake (17/6/2012),Dewji alitarajiwa kuwa na kikao maalum na madiwani wa kata za Singida mjini,kuzindua kisima cha maji cha kijiji cha Mtisi,kuzungumza na wanachama wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Singida na kukagua kituo cha afya cha Sokoine mjini Singida

Stars yafa kiume Msumbiji, Maputo



NDOTO ya Tanzania kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2013, imefutika rasmi jioni ya leo mjini Maputo, Msumbiji baada ya kukubali kufungwa kwa changamoto ya mikwaju ya penalti 8-7 na Msumbiji kwenye Uwanja wa Taifa wa Zimpeto jijini hapa katika mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa.

Timu hizo zilifikia hatua ya mikwaju ya penalti baada ya kumaliza dakika 90 matokeo yakiwa 1-1 kama ilivyokuwa mechi ya kwanza jijini Dar es Salaam, hivyo kufanya matokeo ya jumla kuwa 2-2.
Msumbiji ‘Mambaz’ walikuwa wa kwanza kupata bao la kuongoza lililofungwa na Jeremies Saito aliyeunganisha kwa umakini krosi ya Helder Pelembe dakika ya 18.

Wakati mashabiki wa Msumbiji wakiamini mchezo umeisha, beki Aggrey Morris aliisawazishia Kili Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro, akiunganisha kwa kichwa kona iliyopigwa na Amir Maftah dakika ya 90 na kufanya kwenda kwenye changamoto ya mikwaju ya penalti.

Nahodha wa Stars, Juma Kaseja alipangua penalti mbili za kwanza za Msumbiji, kabla ya Mbwana Samata kukosa penalti ya tisa iliyopanguliwa na kipa Joas na wenyeji Mambaz kupata ya kwao iliyofungwa na Dominguez.

Waliopata penalti kwa Stars ni Amir Maftah, Shomari Kapombe, Shaaban Nditi, John Boko, Frank Domayo na Mrisho Ngasa, wakati Morris, Kelvin Yondani na Samata wakikosa.

Pamoja na kufungwa bao la mapema, Stars iliweza kutulia na kucheza soka ya kujiamini katika kipindi chote cha kwanza, lakini washambuliaji wake walikosa umakini kwenye umaliziaji.
Samata alikosa bao dakika ya 24 baada ya kupokea mpira uliomtoka beki wa Msumbiji, lakini alipiga shuti hafifu likaishia mikononi mwa kipa.

Kiungo Domayo, alionesha soka ya kiwango cha juu kwa kutoa pasi za uhakika na kuwaunganisha vema Ulimwengu na Samata mwanzoni.

Hata hivyo, Kocha Kim Poulsen, alilazimika kufanya mabadiliko ya kikosi kipindi cha pili kwa kuwatoa Ulimwengu, Mwinyi Kazimoto na Erasto Nyoni na kuwaingiza Haruna Moshi, Boko na Maftah, mabadiliko yaliyokuwa na faida kubwa kwa Stars.

Wenyeji walicheza kwa nguvu huku wakishangiliwa na mashabiki wao, lakini walishindwa kuipenya ngome ya Stars chini ya Aggrey.

Stars: Juma Kaseja, Shomari Kapombe, Erasto Nyoni, Aggrey Morris, Kelvin Yondani, Shaabani Nditi, Mrisho Ngasa, Frank Domayo, Thomas Ulimwengu, Mbwana Samata, Mwinyi Kazimoto. 

Warsha za ZIFF 2012

                Warsha za ZIFF 2012
                   ZIFF inatrajia kuanza rasmi Julai 7-15.Ndani ya Ngome Kongwe, Zanzibar

                                Mario Van Peebles
                BARRY BRAVERMAN
Ni Warsha  moto sana za kuongezea ujuzu mkubwa "technical"
katika kupiga picha na uhariri wa filamu. Pia kutakuwa na warsha maalum ya
uongozaji filamu itakayotolewa na Mario Van Peebles.


Warsha hizo ni:
1. HD CINEMATOGRAPHY BY BARRY BRAVERMAN
(5 Days- Tsh 120,000)
2. PICTURE AND SOUND EDITING BY NICOLAS STAMPE
(4 Days Tsh 120,000)
3. MASTER ARTIST- (DIRECTING) -MARIO VAN PEEBLES
AND MANDELA VAN PEEBLES

1. HD CINEMATOGRAPHY BY BARRY BRAVERMAN
MONDAY: 9TH JULY, 2012
10:00 – 14:30 HD Camera Workshop with Barry Braverman
TUESDAY: 10TH JULY, 2012
10:00 – 14:30 HD Camera Workshop with Barry Braverman
WEDNESDAY: 11TH JULY, 2012
10:00 – 14:30HD Camera Workshop with Barry Braverman
THURSDAY: 12TH JULY, 2012
10:00 – 14:30 HD Camera Workshop with Barry Braverman
FRIDAY: 13TH JULY, 2012
10:00 – 14:30 HD Camera Workshop with Barry Braverman
VENUE: TBA

PICTURE AND SOUND EDITING
BY NICOLAS STAMPE
MONDAY: 9TH JULY, 2012
10:00 – 14:30 EDITING WORKSHOP BY NICHOLAS STAMPE
TUESDAY: 10TH JULY, 2012
10:00 – 14:30 EDITING WORKSHOP BY NICHOLAS STAMPE
WEDNESDAY: 11TH JULY, 2012
10:00 – 14:30 EDITING WORKSHOP BY NICHOLAS STAMPE
THURSDAY: 12TH JULY, 2012
10:00 – 14:30 EDITING WORKSHOP BY NICHOLAS STAMPE
VENUE:TBA

FILM DIRECTING WORKSHOPS BY MARIO VAN PEEBLES
AND MANDELA VAN PEEBLES
Day one:Thursday July 12th: Master Artist in residence workshop - Directing for
a Narrative Feature with Mario, Mandela and Ikaweba Bunting. 

        9:00-11:00 watch Mario's Film  Baadasssss! (2003) - IMDb  www.imdb.com/title/tt0367790/
        11:00-11:30 Tea
        11:30-12:15 Watch Birth of Black Cinema (From the Extra's in Baadasssss)
        2:00 - 4:00 Mario Q and A and directing and Process of Writing Directing and Acting in a feature
    Day two: 13th July.
        9:00 - 12:30: A panel on Production (Mario, Michael and Mandela), and the ins and outs of getting one’s film distributed.        
        2:00 - 4:00: The Role of Film festivals discussion in a Panel with Ayuko Babu (Festival director Pan African Film Festival of LA)
--
"Find Joy in the Happiness of Others"

Monday, June 11, 2012

BATA BATA IN STONE TOWN ROCKS!

On the 22nd of June Coral Rock Hotel will also be taking its legendary Rock Night Party to Stone Town in support of the most deserving charities on the island. In association with the Rotary Club of Zanzibar,
we'll be turning Stone Town into ROCK TOWN for one night. This will be hosted at Mercury's Restaurant

ORIJINO KOMED NA MAPAMBANO YA UKIMWI

                                             Kikosi cha Orijino Komed picha ya pamoja hivi karibuni.
                                           
                                             Joti akiwa kazini...

               Wasani wa Vichekesho nchini, Orijino Komed wakiwa kwenye moja ya shughuli zao hapa nchini za
                 uchekeshaji hivi karibuni. Vipi unavutika na vichekesho vyao? tuma maoni yako hapa:email;  

                      habarimotomototz@gmail.com/+255719076376          

Lindsay Lohan anusurika katika ajali

MWIGIZAJI Lindsay Lohan amenusurika kupata ajali baada ya gari lake kuteleza mwishoni mwa wiki na kuingia kwenye dampo la magari lililoko kusini mwa njia kuu ya California.
Katika taarifa ya Polisi, Lohan alikuwa akiendesha gari lake hilo na mara ghafla alikutana na gari jingine mbele ndipoi alijikuta akihama njia na kwenda kwenye korongo.
Taarifa hiyo inaendelea kueleza kuwa mwigizaji huyo alikuwa amempakia mtu mmoja ambaye kwa pamoja walipelekwa hospitalini kwa uchunguzi zaidi.
Polisi walisema wanaamini Lohan au dereva wa gari lile jingine walikuwa wamelewa pombe au dawa za kilevya.

ZITAMBUE HARD DRIVES

A hard drive is good to find: 

Six external drives with a twist

Not all hard drives are created equal.
Oh sure, they all do the same thing at its core — store all your files, such as documents, photos, videos, music and games — but some of today's external hard drives go beyond the call of duty with advanced features ranging from wireless connectivity and extreme ruggedness to automatic back-up software and designer bodies.
Whether you're looking to pick up a new drive for work or play, or a bit of both, the following are a half-dozen of the newest — and most unique -- hard drives worthy of a spin.
Remote possibility
While they might look like any other desktop hard drive, the Western Digital (WD) My Book Live(from $159.99 for 1TB) can be connected to your home network, allowing you to access these files anywhere in — or even outside of — the home.
Even if you're halfway across the world, PC or Mac users can securely access your files via a password-protected site (WD2go.com), while those on a smartphone or tablet can use free WD2go apps for AndroidWindows PhoneBlackBerry or Apple's iOS devices. An auto-sync feature means new or modified files added to My Book Live automatically sync to mobile devices.
You can also share files with others via a link, stream media (such as movies) and access content with no monthly fees. Plus, your data is stored in your home and not via a third-party cloud service.
Stream dream
If you and a few friends are relaxing in the backyard with your device of choice — perhaps an iPod touchAndroid tabletBlackBerryiPador Windows Phone device — three of you can stream different content — be it video, music or photos — all at the same time, thanks to theSeagate GoFlex Satellite ($199.99).
That's right, this portable and wireless hard drive can wirelessly beam media to any nearby device capable of joining the Wi-Fi network it creates, via a web browser or a free downloadable app.
Simply load up this 500GB hard drive with files, such as 300 HD movies -- by first connecting it to your Windows or Mac computer via USB -- then unplug and hit the sunshine.
A recent update for the hard drive expands its battery performance from 5 to 7 hours between charges and now allows users to stream content and access the Internet at the same time, if desired.
Real rugged
If you protecting your data is a top priority, you might opt for a rugged drive that can withstand extreme environments or accidental drops.
Calling the ioSafe Rugged Portable ($249.99 for 500GB) a "durable" drive would be a huge understatement. It could be submerged in water — and left for 3 days — driven over by an SUV or dropped at a height of up to 10 feet (or up to 20 feet for the SSD version), and your data will remain safe and sound.
No wonder the company calls this military-grade, titanium drive "like a black box for your data." It works with both PCs and Macs, and offers USB 3.0 or FireWire 800 connectivity.
Another key differentiator compared to most other hard drives: the ioSafe Rugged Portable ships with a "no-hassle" warranty — if the product stops working for any reason within the warranty period, it'll be replaced with no questions asked. On a related note, there's also a free one-time data recovery service offered (up to $5,000) to get your data back from accidental deletion, formats, corruption or disasters.
Media maven
You likely acquire your media from many different sources, but you should be able to access it all between all of your devices.
Iomega's EZ Home Media Network Hard Drive(from $189 for 1TB) is a network storage solution with a built-in UPnP AV Media Server (DLNA certified) and iTunes server — therefore you can access your media on multiple wireless devices in the home.
After all, if you downloaded TV shows and movies to your laptop, you probably don't want to watch it on a small monitor — instead, why not stream it to your PlayStation 3Blu-ray player or DLNA-compatible HDTV to watch it on a big-screen television. And if you're running out of memory on your iPod touch, iPhone, iPad or Android device, you can stream content off the EZ Home Media Network drive.
Of course, you can also share content between devices on the network, such as swapping documents between computers.
Similar to the WD product, you can also access files outside of the home, too, from any web browser (via Iomega Personal Cloud), smartphone or tablet.
Design diva
Just as computers have evolved from boring and bulky beige boxes, there's no reason why portable hard drives can't have style along with substance.
Case in point: The LaCie Porsche Design P'9220mobile hard drive (from $109.99 for 500GB) is a collaboration between LaCie — a leading edge hard drive maker, recently acquired by Seagate — and one of the most renowned design firms in the world.
Aside from aesthetics, this sleek silver drive — built with 3 millimeters of aluminum -- also means it's durable and can protect your data from the bumps and grinds of everyday life.
The USB 3.0 drive works with both Macs and PCs. When not in use, the drive goes into an "Eco" mode, which lowers the power consumption by up to 40 percent — thus increasing the battery life of your laptop.
Bundled software includes an automatic backup too, optional password protection and a link to 10GB of free Wuala cloud storage.
Hard Drive for Dummies
Finally, the Clickfree line of hard drives have a unique feature: simply plug it into your PC and it'll automatically find and back-up your important files, such as documents, photos, videos, music and more.
As the name suggests, you don't need to click anything at all — unless you want to tweak the settings, such as only backing up certain types of files, such as photos.
The Clickfree C6 Easy Imaging drive ($129.99 for 1TB) goes one step further and lets you back-up your entire Windows PC and segregate the programs, files and operating system. If something happens to your computer -- such as contracting a nasty virus -- plug in the drive, reboot the computer and a feature called EasyFix kicks in to restore your computer back to a time before the files were compromised. Alternatively, plug the backed-up C6 into a new computer to transfer over all the files and programs.
Finally, the C6 also lets you copy music and other media from any iPodiPhone or iPad to and from the computer — something iTunes won't let you do.